Karibu Nd. Genghiskhan katika Wikipedia kwa Kiswahili! Twamfurahia kila mmoja anaeingia na kuungana nasi. Ukiwa una swali we uliza tu utajibiwa! Kwa sasa utamwona saaaana Kipala na mimi Muddyb tuliye tayari kukusaidia kama inawezekana. Karibu sana.--Mwanaharakati (majadiliano) 05:30, 28 Juni 2008 (UTC)Reply