Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Hussein m mmbaga (majadiliano) 11:56, 12 Machi 2023 (UTC)Reply

Medical translation

hariri

Thank you for joining our efforts. Doc James (talk · contribs · email) 05:17, 3 Septemba 2024 (UTC)Reply

Tafadhali, usifute kazi za wenzako katika kurekebisha makala zako, ukianza na moja kila mara kama kwamba hakuna wa kuziingilia. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:58, 3 Septemba 2024 (UTC)Reply
Ndugu, nimerejesha kichwa cha ugonjwa wa kutotulia kihisia kwa sababu kile ulichoweka wewe hakieleweki kabisa: hali ya utu ya mpakani ni hali gani? Pia Kiingereza ina jina badala kwa tatizo hilo, nalo linaeleweka zaidi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:30, 7 Septemba 2024 (UTC)Reply
Ndugu, naona juhudi zako. Hata hivyo uangalie marekebisho yangu ili kuboresha kazi yako zaidi na zaidi na kukwepa makosa yaleyale. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:36, 9 Septemba 2024 (UTC)Reply
Asante kaka kwa maelekezo. Mada hii ilikuwa changamoto kweli. Amani kwako! HAJJ MAULID MAKOKHA (majadiliano) 07:30, 11 Septemba 2024 (UTC)Reply