HISTORIA YA UKOO WA HYERA (WANGONI- WAMATENGO) WALIOPO WILAYA YA MBINGA KATIKA KIJIJI CHA TANGA MKOA WA RUVUMA NCHINI TANZANIA hariri

HISTORIA YA UKOO WA AKINA HYERA MTAA WA MAWIWI KATIKA KIJIJI CHA TANGA.

Mtu aliyeleta ukoo huu anajulikana kwa majina ya NDIMBO ambaye alimuoa HEMA wakitokea eneo la Agati na inasemekana alikuwa na ndugu zake ambao aliachana nao njiani mwingine akakaa Maeneo ya Litembo na Mwingine akakaa Maeneo ya Wukilo. Hivyo baadhi yao waliwaacha Maeneo ya Agati.

Katika safali ya NDIMBO alisafiri na kuja kukaa Maeneo ya Ugano. Katika maisha yake pale Ugano inasemekana alizaa watoto wawili wa kiume ambao walikuwa KALEMBAKELA(ZENOBIUS) & KINDOLO(JOSEPH). Alizaa pia watoto wa kike ambao mmoja wao aliolewa na (Tangawesi- baba yake seminari)aliitwa LONGA, na Mwingine aliolewa (Mpato Kijiji Cha kindimba kwa akina kadege)aliitwa SOLOPHINA.

Baadae NDIMBO alifariki na kuacha mke ambaye Ni HEMA na watoto wake hao wawili wa kiume na hao wawili wakike. Mtoto wa Kwanza ambaye Ni KALEMBAKELA (ZENOBIUS) alioa mke ambaye alikuwa anaitwa MASIMO. Pia mtoto wa pili ambaye Ni KINDOLO(JOSEPH) Naye akaoa mke baadae ambaye aliitwa POLOTASIA(KAMBONDOMA/IDDA) KALEMBAKELA alizaa watoto wawili na mkewe MASIMO ambao Ni KARESA & NGATENGESA(ELPINA)MAMA YAKE KASEKELA na MAKASA(ameolewa Rupingu) na baadaye akafariki.

Baada ya kufariki KALEMBAKELA, walimzika pale ugano(Maeneo ya upato) na walihama pale ugano, na waliohama walikuwa KINDOLO na mke wake POLOTASIA, Mama yake ambaye Ni HEMA, mke wa marehemu kaka yake ambaye Ni MASIMO na hao watoto wawili wa kaka yake ambao Ni KARESA NA NGATENGESA (MAMA YAKE KASEKELA). Na walihamia Maeneo ya Mawiwi.

Walivyofika Mawiwi KARESA akamjengea mama yake nyumba(MASIMO) Maeneo ya Majengo(Mawiwi) na wakati huo KINDOLO akamrithi huyo mke wa Kaka yake ambaye alikuwa(MASIMO), hivyo na kuwa na wake wawili. Baada ya kumrithi huyo mke wa Kaka yake(MASIMO) alizaa naye watoto wanne, wakike wawili na wakiume wawili ambao Ni MBEMBI(MERIKION), LINDEKU(MAMA YAKE UPEPO ZOMBA), (MAHOJA/ KELBINA)ALIYEOLEWA RUWAITA, & KANDUNGUMA(HENDRICK) na kuwa na jumla ya watoto Sita na wale wa Kaka yake. Pia KINDOLO kwa mke wake POLOTASIA alizaa naye watoto watano ambao ni SABINA(NTATABANA), SOLOPHINA(TULIA) aliyeolewa kwa Kapondeka kihuka, KISAGA(ANDREAS), SAIN & NYAMBILI(TEODOSIA) aliyeolewa kwa Kibeka beka.(Nombo, wa mawiwi {miwanga})

FAMILIA YA KARESA KARESA alimuoa EVARINA na alizaa watoto 9 ambao Ni Kabichi aliolewa Tanga (laini)kwa bosko nangana, Masai, shoti, Reokadia aliolewa kwa pataera, Romana(Silipein), (Kibonge)Sabasi, Nyerere( Fredrick), Rusi mateso na Isabera(Karota).

FAMILIA YA MBEMBI Mbembi alioa wake wa tatu. Mke wa Kwanza Ni ANTONIA NDUNGURU kutoka mateka, na alizaanaye watoto watano ambao Ni Mahipasa(Angelika) aliishi kikolo, Ditrick (Mewani)aliishi daresalam akifanya kazi ya Afisa Magereza, Akwinata akiishi Mbinga mjini(Kihaha), Alois aliishi songea maeneo ya Ruhuwiko akifanya kazi ya Afisa wa Jeshi la wananchi na Manufred aliishi daresalam akifanya kazi ya Afisa wa Jeshi la wananchi. Mke wa pili aliitwa BONIFASIA kutoka gumbilo na alizaanaye watoto wawili ambao Ni Esta aliishi mawiwi na Oresta aliishi Ruhehe. Mke wa tatu aliitwa Vestina (Roketi) akitokea Nyasa na hakuzaanaye.

FAMILIA YA KISAGA Kisaga alioa wake wawili. Mke wa Kwanza aliitwa Exsaveria(Mangu) akitokea kindimba Maeneo ya Mapelele. Alizaanaye watoto wawili ambao Ni Joseph(Kindolo)aliyekwenda kuishi Ruhehe na Filibeta(Sikujua) aliyeolewa Rugari. Mke wa pili aliitwa Teresia (bidhaa) akitokea kilangajuu na alizaanaye watoto watatu ambao ni Fiderisi aliishi Mbinga akifanya kazi ya uwalimu, Stamili aliishi Mawiwi na Korneli aliishi Mawiwi.

FAMILIA YA KANDUNGUMA Kandunguma alioa mke mmoja ambaye Ni Leonia(Nyasimeli) akitokea myangayanga kwa akina kipwele. Alizaanaye watoto 8 ambao ni Yordan(Kagembi) aliyeishi Ruvuma(Masimeri) na kabla ya kuishika huko alifanya kazi TRA, Marietta aliolewa Litembo homola, Samweli(Kibanga) aliishi Ruvuma, Moses (Chiduo) aliishi mbinga, Hendrick (Hendrick), Hendrick(Ngonday) aliishi mbinga, Egno aliishi Ruvuma, Maurini(Maua) aliolewa mbinga kwa putuka.

FAMILIA YA SAINI Saini Alioa mke mmoja ambaye aliitwa Evodia(Tebera), na alizaanaye watoto 4 ambao ni Anna aliolewa kwa akina gharama agati(zomba), Lupina aliolewa kwa sitima na baadae aliolewa unango, Odwina aliishi Mawiwi na hakuolewa, Esau(kupe) aliishi Mawiwi, Hyera Gerald (majadiliano) 05:07, 14 Aprili 2022 (UTC)Reply