Habari! Si wazo zuri kupakia picha bila maelezo ya hatimiliki na picha ile. Hii picha ya Kanumba una haki nayo ima unapakia tu kwa kujisikia? Baada ya wiki moja picha itafutwa endapo ikiwa haujaweka maelezo yeyote yale au kutojibu swali husia na jambo hili. Kila la kheri.--Muddyb MwanaharakatiLonga 08:49, 6 Agosti 2009 (UTC)Reply