kulingana na jinsi nilivyo ishi kiondela,nimefahamu mambo mengi,kwa mfano mito misitu,wanyama,mapolomoko ya maji,haya yote yangeweza kupewa kipaumbele,ili hata watalii wangeweza kufaham na kufika hapo,kujionea maajabu ya kisondela. mbali na hay wangeweza kujijua kama kun ling'oma ipenenga kibhota selemuko na mengine mengi ambayo watu wangeweza kuyafurahia.kwa leo naomba niambie niandike nini kuhusu kisondela mpaka iwe bomba.mimi mzaliwa wa hapo.

Ndugu Jasson - karibu kwenye Wikipedia ya Kiswahili. Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Ukiwa una swali, we uliza tu, kaka. Kuhusu hayo masuala unayotaka kuandika, jisikie huru kufanya hivyo. Nami nitaunga mkono, kaka. Kwa msaada wa kuanzisha makala, tafadhali njoo hapa. Karibu sana.--Muddyb MwanaharakatiLonga 08:20, 11 Agosti 2009 (UTC)Reply