Joramrocky, karibu sana kwenye wikipedia ya Kiswahili! Twamfurahia kila mmoja anayejiunga nasi na kuchangia. Tuko wachache tu na kazi ni kubwa kujenga Kamusi Elezo ya Kiswahili. Ukiwa na swali uliza tu.--Mwanaharakati (majadiliano) 11:30, 13 Machi 2008 (UTC)Reply