Karim M. Fairom
Imejiunga 14 Julai 2008
Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Karibu Nd. Karim M. Fairom katika Wikipedia ya Kiswahili! Twafurahia kila mmoja anayengia na kujiunga nasi. Kwa sasa utaona saana mimi Muddyb na Kipala tuliye tayari kukusaidia wewe! Ukiwa una swali we uliza tu utajibiwa. Ingawaje mwanzoni utajionea mauzauza lakini taratiibu baadaye utazoeya. Karibu sana.--Mwanaharakati (majadiliano) 16:51, 14 Julai 2008 (UTC)