Majadiliano ya mtumiaji:Kipala/Jack the Ripper

Latest comment: miaka 7 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Msiba huu, haunihusu, lakini nataka kuchangia daftari la mchango! Neno "MALAYA" naona zito kidogo. Kwa mtazamo, nahisi ulitaka kumaanisha "prostitute" (whore)? Haya, lugha za kisasa au zilizoeleka tangu mwishoni mwa miaka ya 80 na tisini yote tunaita "CHANGUDOA". Ni mawazo tu...--MwanaharakatiLonga 16:54, 27 Oktoba 2016 (UTC) Reply

Rudi kwenye ukurasa wa mtumiaji wa " Kipala/Jack the Ripper".