Linex, karibu katika Wikipedia ya Kiswahili. Nimependa sana makala yako ya Edgar. Umefanya vyema sana kwa mtu mgeni katika Wikipedia. Unakaribishwa kutunga makala nyingine nyingi tu muda wote. Ni furaha yetu kuona unaendelea nasi katika kuendeleza gurudumu hili. Wako Muddyb au,--MwanaharakatiLonga 05:59, 31 Mei 2013 (UTC) Reply