Karibu Mchizirox katika Wikipedia ya Kiswahili! Najua lazima utakuwa una ng'aa sharubu kuona madude yaliyomo ndani ya Wikipedia hii. Basi karibu na jisikie huru kuuliza swali lolote ulipendalo. Tuendelee, niite Muddyb Blast au,--Mwanaharakati (Longa) 06:47, 30 Oktoba 2008 (UTC)Reply


Shukrani sana nimefurahi sana kujiunga na wanaharakati wenzangu lakini huu mtandao ni mgumu sana hivyo naomba ungewekwa katik mchanganuo ulio rahisi kwa kila mmoja ili aweze kuutumia kwa urahisi zaidi. --Mchizirox (majadiliano) 07:01, 30 Oktoba 2008 (UTC)Reply

He! Natumai itakuwa woga wako tu juu ya matumizi ya mradi huu. Itakuchukua muda kuzoea lakini si sana. Labda ukiwa unapata kuuliza maswali ya hapa na pale juu ya namna ya kuutumia, basi natumai itakuwa rahisi mno! Unaombwa ukaze buti walau tuweze kusonga katika mawili matatu. Kwa lengo la kutaka kujua namna ya kuandika ni vipi, tafadhali fungua hapa. Hapo utaweza kujisomea meengi kuhusiana na namna ya uhandishi wa wikipedia hii. Karibu sana!--Mwanaharakati (Longa) 07:07, 30 Oktoba 2008 (UTC)Reply