Arthur, karibu sana kwenye wikipedia yetu ya Kiswahili! Twamfurahia kila mto anayechangia. Ukiwa na swali uliza tu (ama kwenye ukurasa wa majidiliano wa mtumiaji mwingine au kwa kutumia ukurasa wa jumuiya). Kuhusu mpangilio wa makala unaweza kusoma Msaada_wa_kuanzisha_makala. --85.16.102.208 12:38, 8 Januari 2008 (UTC)Reply

Arthur, salaam nafurahia ya kwamba umeanza kuonekana tena hapo baada ya muda mrefu. Sema: ungekuwa na nafasi ya kazi kidogo? Labda umeona tumeweka kata zote za Tanzania kwenye wikipedia hii yaani kila kata ina makala fupi na watu wameanza kuchangia kidogokidogo habari za kwao. Sasa naona ingekuwa vema tukiongeza pia Kenya; niliovyoangalia takwimu zilizopo mtandaoni kuna orodha ya tarafa (divisions) za Kenya. Kwa hiyo lengo itakuwa kuweka makala fupi ya kila tarafa ya Kenya humo. Nikianza kuzishughulika nitahitaji ushauri wa mwenyeji kwa sababu niko hapa mbali Ujerumani. Ungependa kushirikiana katika kazi hii? --Kipala (majadiliano) 12:21, 25 Machi 2009 (UTC)Reply

Salaam, Wikipedia Challenge

hariri

Check out WP:KWC. We need judges! Sj (majadiliano) 18:20, 20 Novemba 2009 (UTC)Reply

Call for Wikipedians in Residence in Africa

hariri

Hello, I hope you are well and thriving!! WikiAfrica has just put out a call for two Wikipedians in Residence. One in Cape Town at WikiAfrica, at the Africa Centre; and the other for WikiAfrica Cameroon in Douala, at doual’art. I would be very grateful if you could spread this call far and wide among your networks to ensure that both projects get excellent candidates. Here is the link for the information page http://www.wikiafrica.net/two-wikipedians-in-residence-for-africa/ Islahaddow (majadiliano) 09:47, 8 Novemba 2012 (UTC)Reply