Karibu Bwana Pmusyoki hariri

Ninafurahi kukukaribisha hapa! Kuna kazi nyingi hadi kamusi hii itakuwa kitu chenye maana hivyo tuchange sote! Siasa ni mada muhimu halafu mtu mwingine mwenye dhana jinsi ya kuandika makala anahitajika sana! --Kipala 13:21, 28 Februari 2006 (UTC)Reply