Pmusyoki
Imejiunga 14 Februari 2006
Mimi naitwa Philip, mzaliwa wa Kenya. Naunga mkono sera zinazopendela mabadiliko, pamoja na demokrasi na uhuru wa kibinafsi.
Userboxes |
---|
|
Kuhusu mambo ninayo andika
Napenda sana kuandika juu ya mambo yanayohusu siasa za Afrika and wanasiasa wa Afrika.Pia nachangia mambo kuhusu demokrasia, uhuru and haki.
Kuhusu mimi
- Mimi ni mzaliwa wa Kenya, Afrika ya Mashariki.
- Napendelea mambo ya siasa, sanasana siasa za Afrika, na hali ya dunia kwa kiujumla.
- Napenda nyimbo za kitamaduni na zile za Mariachi.
- Napenda michezo ya kompiuta ya Deus Ex na Doom.
This is a Wikipedia user page. This is not an encyclopedia article. If you find this page on any site other than Wikipedia, you are viewing a mirror site. Be aware that the page may be outdated and that the user to whom this page belongs may have no personal affiliation with any site other than Wikipedia itself. The original page is located at http://sw.wikipedia.org/wiki/Mtumiaji:Pmusyoki. |