Karibu sana kwenye wikipedia ya Kiswahili! Naona sasa tu umejiunga wakati wa mapumziko wa wengi kwa hiyo hujakaribishwa. Twamfurahia kila mmoja anayechangia ama amkala au kusaidia kwa njia ya masahihisho. Ukiwa na swali lolote uliza tu! --Kipala 10:42, 25 Oktoba 2007 (UTC)Reply