Nnatumaini kuwa kwa kuiendeleza wikipedia hii ya kiswahili, tunafanya la maana saana kwa kuwa vilembwe na vilembwekeze wataweza kuona kuwa mababu zao hawakulala. Mimi ni mzaliwa Kenya na mpenda lugha na ingawa kiswahili changu sio sanifu, najua wanawikipedia wenzangu ham'tasita kunikosoa.