Karibu sana katika wikipedia hii. Hujadokeza yale unayopenda kuchangia hasa lakini labda uangalie kwenye Jamii:Wilaya za Kenya ukichangia habari kuhusu mahali unapotoka (chagu wilaya yako), chuo chako (mfano wa makala fupi: Dar es Salaam Institute of Technology) na kadhalika. --91.98.113.164 22:01, 26 Novemba 2009 (UTC)Reply