Ni mkenya wa kawaida aliye na mawazo kiasi anadhani yata weza kuchangia kueneza kiswahili. Kwa hivi saasa ni mwanafuzi katita chuo kiku cha Methodist, ana blog yake hapa www.weblogmeblog.blogpot.com na dhani nita kuwa wa manufa kwa hiki kikundi