Tylekeoso
Imejiunga 8 Desemba 2020
Latest comment: miaka 4 iliyopita by Olimasy
Ndugu mwanawikipedia tunapenda sana na tunatambua michango ya kila mmoja wetu, napenda kukutaarifu kua makala yako imefutwa kwasababu haikufuata utaratibu. kwamaelezo zaidi pitia ukurasa wetu nwa meta au niandikie barua pepe ili kupata msaada zaida. Asante Olimasy (majadiliano) 10:57, 8 Desemba 2020 (UTC)