Majanga ni matukio yanayompata mtu, mara nyingi kama matokeo ya kufanya jambo ambalo si la kawaida katika jamii.

Janga la tetemeko la ardhi

Baadhi ya jamii zinaamini kuwa majanga hutokana na nguvu za giza au mikosi kutoka kwa wazazi au watu wenye mamlaka juu ya mhusika.