Makampuni Memba (Soko la Hisa la Nairobi)
Makampuni memba ya Soko la Hisa la Nairobi yanajumuisha Mabenki ya Uwekezaji na Makampuni za Ubroka. Kwa kuwa memba katika soko hili, makampuni haya yanaruhusiwa kuuza na kununua hisa katika soko kwa niaba ya wawekezaji.
Usajili wa Makampuni Memba
haririIli kusajiliwa kama kampuni memba katika soko la hisa, ni lazima upate leseni kutoka kwa "Capital Markets Authority" (CMA). Leseni hiyo huwasilishwa kwa makampuni yaliyo timiza masharti ya kupewa leseni ya CMA. Masharti haya yanaweza patikana katika tovuti la * Soko la Hisa la Nairobi Ilihifadhiwa 3 Januari 2010 kwenye Wayback Machine..
Orodha ya Makampuni Memba
haririJedwali lifwatalo laonyesha makampuni memba katika Soko la Hisa la Nairobi.
Drummond Investment Bank Limited Hughes Building, Ghorofa ya 2, |
Dyer & Blair Investment Bank Ltd Loita House, Ghorofa ya 10, |
Ngenye Kariuki & Co. Ltd. Corner House, Ghorofa ya 8, |
Suntra Investment Bank Ltd Nation Centre,Ghorofa ya 10, |
Reliable Securities Ltd. IPS Building, Ghorofa ya 6 |
CFC Stanbic Financial Services CFC Stanbic House |
Kingdom Securities Ltd Co-operative Bank House,Ghorofa ya 5 |
Afrika Investment Bank Ltd Finance House, Ghorofa ya 9 |
ABC Capital Ltd IPS Building, Ghorofa ya 5 |
Sterling Investment Bank Ltd Finance House, Ghorofa ya 11 |
ApexAfrica Investment Bank Ltd Rehani House, Ghorofa ya 4 |
Faida Investment Bank Ltd. Windsor House, Ghorofa ya 1, |
NIC Capital Securities Ltd. NIC Bank House, Barabara ya Masaba |
Standard Investment Bank Ltd ICEA Building, Ghorofa ya 16, |
Kestrel Capital (EA) Limited ICEA Building, Ghorofa ya 5, |
Discount Securities Ltd. (hini ya usimmizi ya wakurugenzi wa nje) |
African Alliance Kenya Securities. 1st Trans-national Plaza |
Renaissance Capital (Kenya) Ltd Purshottam Place ,Ghorofa ya 6 |
Genghis Capital Ltd. Prudential Building, Ghorofa ya 5 |
Angalia pia
haririViungo vya nje
hariri- Soko la Hisa la Nairobi Ilihifadhiwa 3 Januari 2010 kwenye Wayback Machine.
- "Capital Markets Authority"
- CDSC Kenya