Makemo ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kaskazini-magharibi wa kisiwa cha Marutea. Eneo la kisiwa ni 56 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Pouheva. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 832. Watu wakaao kisiwani kwa Makemo huongea Kituamotu na Kitahiti.

Kisiwa cha Makemo
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.