Makindu ni mji wa Kenya kusini katika kaunti ya Makueni. Ni kata ya Eneo bunge la Kibwezi Magharibi[1].

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 15,038[2].

Tanbihi

hariri