Makoma
Kikundi kilichoshinda tuzo za Kikristo, pop, R&B na muziki wa dansi kutoka Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Makoma ilikuwa bendi ya muziki wa Injili kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Makoma wanaimba kwa Kilingala, Kiingereza na Kifaransa, na wakati mwingine Kiholanzi na Ujerumani.
Makoma iliundwa na:
- Nathalie Makoma
- Annie Makoma
- Pengani Makoma
- Tutala Makoma
- Duma Makoma
- Martin Makoma
- Patrick Badine
- Papaa Letoni
Albamu
hariri- Nzambe na Bomoyi (Jesus For Life) (1999)
- Makoma (2000)
- Mokonzi na Bakonzi (King of Kings) (2002)
- Baby Come (2002)
- Na Nzambe Te, Bomoyi Te (No Jesus, No Life) (2005)
- My Sweet Lord (Gospel Edition) (Makoma featuring Nathalie Makoma) (2005)
- Evolution (2012)
Nyimbo maarufu
haririMarejeo
hariri
Viungo vya nje
hariri- [http://web.archive.org/20190324153838/http://www.makoma.co.uk/ Ilihifadhiwa 24 Machi 2019 kwenye Wayback Machine. Makoma:
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Makoma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |