Kiholanzi

Lugha ya Kijerumani Magharibi

Kiholanzi ni lugha inayozungumzwa nchini Uholanzi, Ubelgiji na Surinam na watu milioni 23. Katika Uholanzi inaitwa "Nederlands" na katika Ubelgiji inaitwa "Vlaams".

Maeneo ambako Kiholanzi huzungumzwa katika Ulaya

Kiholanzi ni lugha ya Kigermanik ya magharibi katika jamii ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kiafrikaans cha Afrika Kusini ni lugha iliyotoka katika Kiholanzi. Kijerumani ya Kaskazini ni karibu sana na Kiholanzi.

Viungo vya nje

hariri