Makumbusho ya Nurom Hat
Nurom Hat ni makumbusho yenye kofia zilizokusanywa kutoka karibu pande zote za dunia.
Yanapatikana katika nchi ya Ghana[1] yalipoanzishwa mwaka 1960.
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "Nurom Hat Museum". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-06. Iliwekwa mnamo 2020-05-05.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Nurom Hat kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |