Makumbusho ya Taifa ya Ghana
Makumbusho ya Taifa ya Ghana ni makumbusho yanayopatikana nchini Ghana katika mji mkuu wa Accra.
Kwa mujibu ya mamlaka ya usimamizi wa vifaa na vitu vya kitamaduni vya Ghana (Ghana Museums and Monuments Board), makumbusho hayo ni kati ya makumbusho sita makubwa na ya zamani zaidi.
Makumbusho hayo yalijengwa na kufunguliwa tarehe 5 Machi 1957 kama sehemu ya kusherehekea uhuru wa Ghana, na mkurugenzi wake wa kwanza alikuwa A.W. Lawrence.[1]
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ R. M. Cook, ‘Lawrence, Arnold Walter (1900–1991)’, Oxford Dictionary of National Biography, Oxford University Press, Sept 2004; online edn, May 2009
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Taifa ya Ghana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |