Malaba, Kenya
Malaba ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Busia, mpakani mwa Uganda.
Malaba | |
Mahali pa mji wa Malaba katika Kenya |
|
Majiranukta: 0°38′20″N 34°15′57″E / 0.63889°N 34.26583°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Busia |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 7,302 |
Mwaka 1999 ulikuwa na wakazi 7,302.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Malaba, Kenya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |