Mambo Moto tv ni stesheni ya lugha ya Kiswahili iliyoundwa mwaka wa 2021 Nchini Tanzania.

Kipindi hariri

Inaonyesha vipindi kwa lugha ya Kiswahili. Inapatikana chaneli 140 kwa Dstv na 213 kwa zuku. Vipindi vyake ni kama:

  • Al hayba
  • Aa pke jane aase
  • Piya Albela na vinginevyo