Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya (kwa Kiingereza: Kenya Airports Authority: kifupi: KAA) ni taasisi inayomiliki viwanja tisa vya ndege nchini Kenya. Inahusika pia kutoa vibali kwa viwanja vya ndege vya binafsi.
Aina | Kiserikali |
---|---|
Sekta | Usafiri |
Bidhaa | Huduma na Shughuli katika Uwanja wa Ndege |
Tovuti | http://www.kenyaairports.co.ke |
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya ilianzishwa kwa sheria ya bunge katika mwaka wa 1992. Sheria hiyo ya KAA Act, kifungu cha 395, hueleza nguvu na utendaji wa mamlaka.
Mali ya KAA
haririViwanja vikubwa
hariri- Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta - Nairobi
- Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi - Mombasa
- Uwanja wa Ndege wa Eldoret - Eldoret
- Uwanja wa Ndege wa Wilson - Nairobi
- Uwanja wa Ndege wa Kisumu - Kisumu
Viwanja vidogo
haririAngalia pia
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |