Man with No Name
The Man With No Name (Kiitalia: Uomo senza nome) ni jina la kutaja uhusika katika filamu za western, lakini istilahi hii kikawaida hutumika mahususi kwa uhusika uliochezwa na Clint Eastwood kwenye filamu zilizoongozwa na Sergio Leone "The Dollars Trilogy."
Man with no name (Kiitalia: Uomo senza nome) | |
---|---|
muhusika wa Dollars Trilogy | |
Mwonekano wa kwanza | A Fistful of Dollars |
Mwonekano wa mwisho | The Good, The Bad, and The Ugly |
Imechezwa na | Clint Eastwood |
Maelezo | |
Majina ya utani | "Joe" (A Fistful of Dollars) "Manco" (For a Few Dollars More) "Blondie" (The Good, the Bad and the Ugly), The Man From Nowhere, "Señor Ninguno" ("Mr. Nobody"), Mr. Sudden Death, Nameless |
Majina mengine | The Stranger, The Hunter, The Bounty Killer |
Kazi yake | Bounty Hunter/Bounty Killer |
Utaifa | American |
Kunako mwaka wa 2008, Empire limechagua "The Man With No Name" kama uhusika mkali wa 43 katika filamu kwa muda wote.[1]
Mionekano
haririFilamu
hariri- A Fistful of Dollars (1964)
- For a Few Dollars More (1965)
- The Good, the Bad and the Ugly (1966)
Katika filamu ya Back to the Future Part III, Marty McFly kajiita kama "Clint Eastwood", mavazi na kofia aliyoivaa inafanana fika na "The Man with No Name", na kuiba baadhi ya ujanja kutoka katika filamu ya A Fistful of Dollars ili kumshinda "Mad Dog" Tannen.