Sergio Leone (3 Januari 1929 - 30 Aprili 1989) alikuwa muongozaji wa filamu kutoka nchi ya Italia.

Sergio Leone (1975)
Sergio Leone

Anajulikana hasa kwa filamu zake aina ya Spaghetti Western.

Filamu zilizoongozwa na Sergio Leone

hariri
  • The Last Days of Pompeii (1959) au Ultimi giorni di Pompei (Italia)
  • Il Colosso di Rodi (1961) au The Colossus of Rhodes (USA)
  • A Fistful of Dollars (1964) au Per un pugno di dollari (Italia)
  • For a Few Dollars More (1965) au Per qualche dollaro in piu (Italia)
  • The Good, the Bad and the Ugly (1966) au Il buono, il brutto, il cattivo (Italia)
  • Once Upon a Time in the West (1968) au C'era una volta il West (Italia)
  • A Fistful of Dynamite (1971) au Giù la testa (Italia)
  • My Name Is Nobody (1973) au Il mio nome è Nessuno (Italia) aka Lonesome Gun (USA)
  • Un genio, due compari, un pollo (1975) au A Genius, Two Friends, and an Idiot (USA)
  • Once Upon a Time in America (1984) au C'era una volta in America (Italia)

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sergio Leone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.