Mandélia (Chad) ni mji uliopo katika mkoa wa Chari-Baguirmi nchini Chad.

Barabara za nyuma za Fada kaskazini-mashariki mwa Chad, Afrika ya Kati, zinaonekana hivi.
Barabara za nyuma za Fada kaskazini-mashariki mwa Chad, Afrika ya Kati, zinaonekana hivi.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 13,558 [1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Major Cities, Republic of Chad, tovuti ya citypopulation.de
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mandélia (Chad) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.