Mangi Marealle alikuwa Mangi wa Marangu na Vunjo wakati wa miaka ya 1890. Mangi huyu alikuwa kibaraka wa Wajerumani na mara nyingi alikuwa akitumika kuwanyamazisha Mamangi wengine hasa katika vita, akitumika pia kueneza dini ya Ukristo wa Kilutheri.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mangi Marealle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.