Mwembe wa Kalimantan
(Elekezwa kutoka Mangifera casturi)
Mwembe wa Kalimantan (Mangifera casturi) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Maembe ya Kalimantan
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mwembe wa Kalimantan (Mangifera casturi) au kienyeji unajulikana kama Kasturi ni tunda la mti wa matunda ya msimu wa joto, wenye urefu wa takribani mita 10–30, unapatikana kwenye eneo dogo la Banjarmasin, Kusini mwa Borneo (Indonesia). Siku hizi miti hii imeadimika sehemu za porini kutokana na kukatwa katwa kinyume cha sheria. Hata hivyo bado inalimwa kwa kiasi kidogo katika eneo hili kutokana na utamu wa matunda yake.
Picha
haririViungo vya Nje
hariri- Embe Kalimantan, Kasturi (Mangifera casturi)
- World Conservation Monitoring Centre 1998. Mangifera casturi Ilihifadhiwa 21 Novemba 2008 kwenye Wayback Machine.. 2006 IUCN Red List of Threatened Species. Downloaded on 22 Agosti 2007.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwembe wa Kalimantan kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |