Manuva (kutoka Kifaransa manœuvre, "utendaji, uendeshaji", hasa kwa "kazi ya mikono"), ni mbinu na mikakati makini kama vile ya kivita.

Askari wakijirusha nje ya gari ili kukwepa shambulio.

Wanajeshi wanafanya mazoezi mengi makali ya namna hiyo yakihusisha mwili na akili ili kujihakikishia ushindi katika mapigano.