Maongozi ya Mungu

Maongozi ya Mungu (kwa Kiingereza: Divine Providence au Providence tu [1]; kwa Kigiriki: πρόνοια) ni msamiati wa teolojia hasa ya Kikristo unaomaanisha utendaji wa Mwenyezi Mungu katika ulimwengu.

Ushindi wa Maongozi ya Mungu, mchoro wa Pietro da Cortona.

Kwa kawaida yanatofautishwa "maongozi ya jumla", yanayohusu jinsi Mungu anavyodumisha ulimwengu kadiri ya taratibu ambazo aliupangia, na "maongozi ya pekee", yanayohusu jinsi anavyotumia hiari yake kuingilia maisha ya watu hata kinyume cha taratibu hizo.[2] Miujiza inaingia katika aina hiyo ya pili.[3]

Tanbihi Edit

  1. "Divine" evolved in the late 14th century to mean "pertaining to, in the nature of or proceeding from God or a god". This came from the Old French devin or devin, with a similar meaning, and that from the Latin divinus, meaning "of a god", in turn from divus, with similar meaning, which was related the Latin deus, meaning god or deity. The word providence comes from Latin providentia meaning foresight or prudence, and that in turn from pro-, ahead" and videre, to see. Cfr. "providence". providence. 2019. http://www.etyonline.com/search?q=providence.
  2. Providence. The Concise Oxford Dictionary of World Religions. Encyclopedia.com.
  3. Creation, Providence, and Miracle. Reasonable Faith.

Vyanzo Edit

Marejeo mengine Edit

Uyahudi Edit

  • Maimonides on Divine providence - selected passages from Maimonides' "The Guide for The Perplexed"
  • Divine Providence אין עוד מלבדו השגחה פרטית: Hashem’s intimate involvement in our daily lives as discussed by Chazal (April 2019) Authored by Kenneth Ephraim Pinczower distributed by Feldheim; and in digital form on Apple IBooks and Lulu Ebooks.

Ukristo Edit

Viungo vya nje Edit

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.