Orodha ya Marais wa Rwanda

(Elekezwa kutoka Marais wa Rwanda)

Ukurasa huu unaorodhesha Marais wa Rwanda.

Rwanda

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Rwanda



Nchi zingine · Atlasi
Muda wa Utawala Mtawala Kabila Chama cha Kisiasa
Jamhuri ya Rwanda (Sehemu ya (Ruanda-Urundi)
28 Januari 1961 - 26 Oktoba 1961 Dominique Mbonyumutwa, Rais Wahutu Parmehutu
26 Oktoba 1961 - 1 Julai 1962 Grégoire Kayibanda, Rais Wahutu Parmehutu
Jamhuri ya Rwanda (Nchi Huru)
1 Julai 1962 - 5 Julai 1973 Grégoire Kayibanda Rais Wahutu Parmehutu
5 Julai 1973 - 1 Agosti 1973 Juvénal Habyarimana, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani na Muungano wa Kitaifa Wahutu Jeshi
1 Agosti 1973 - 6 Aprili 1994 Juvénal Habyarimana, Rais Jeshi / TNational Republican Movement for Democracy and Development (MRND)
8 Aprili 1994 - 19 Julai 1994 Theodore Sindikubwabo, Rais wa mpito Wahutu National Republican Movement for Democracy and Development (MRND)
19 Julai 1994 - 23 Machi 2000 Pasteur Bizimungu, Rais Wahutu Rwanda Patriotic Front (RPF)
24 Machi 2000 - Present Paul Kagame, Rais Watutsi Rwanda Patriotic Front (RPF)

Angalia Pia hariri