Watutsi

kabila kutoka eneo la Maziwa Makuu ya Afrika

Watutsi ni tabaka (kuliko kabila) la watu wa Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na maeneo ya kandokando kama vile Uganda na Tanzania.

Ikulu ya mfalme wa Watutsi huko Nyanza, Rwanda.
Paul Kagame, Mtutsi maarufu zaidi.

DNA inaonyesha kwamba wana undugu mkubwa na makabila ya Kibantu ya jirani, hasa Wahutu.

Lugha zao ni Kinyarwanda na Kirundi.

Upande wa dini, wengi ni Wakristo.

Watutsi maarufu

  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watutsi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.