Maralik

mji ndani ya Shirak,Armenia

Maralik (Kiarmenia: Մարալիկ) ni mji uliopo katika Mkoa wa Shirak huko nchini Armenia. Mji una kanisa kubwa ambalo lilijengwa tangu mwaka wa 1903.

Mji wa Maralik

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maralik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.