Maria Benedicta Chigbolu

Maria Benedicta Chigbolu (alizaliwa 27 Julai 1989) ni mwanariadha wa Italia aliyebobea katika mbio za mita 400. Alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya mwaka 2020, katika mbio za kupokezana vijiti za 4 × 400 m.[1][2]

Maria Benedicta Chigbolu

Marejeo

hariri
  1. "Maria Benedicta Chigbolu", Fidal.it, FIDAL, 2021. (it) 
  2. "Athletics - CHIGBOLU Maria Benedicta". Tokyo 2020 Olympics (kwa American English). Tokyo Organising Committee of the Olympic and Paralympic Games. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-29. Iliwekwa mnamo 2021-09-19.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria Benedicta Chigbolu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.