Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai ni mwanaharakati anayepambana kuwashawishi watu katika nchi ya Tanzania, kukubali kuwa na mabadiliko chanya kupitia kampeni yake katika mtandao wa kijamii uitwao "Change Tanzania”. Change Tanzania ilianza kama hashTag kwenye mtandao wa Twitter(#changeTanzania)[1] .
Maria Sarungi Tsehai | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Kazi yake |
|
Tovuti | mariasarungitsehai.wordpress.com |
Anafahamika pia kwa jinsi anavyoshiriki katika kuwasaidia mabinti wadogo kuzifikia ndoto zao za kuwa magwiji wa urembo, kwa kuitumia nafasi yake kama Mkurugenzi wa Miss Universe Tanzania kufundisha na kutoa kipaumbele kwa mabinti hao. [2][3] .[4]
Elimu
haririMaria Sarungi Tsehai ana shahada ya kitivo cha sayansi ya jamii kutoka katika chuo kikuu cha Eötvös Loránd in Hungary, alihitimu mwaka 1999.
Kazi
haririNi mtaalam wa mawasiliano, uandishi wa habari na mambo ya urembo, anamiliki kampuni ya mawasiliano Compass communication [5] Akiwa mkurugenzi wa kampuni hiyo, ameweza kushiriki katika utengenezaji wa filamu ya “Am Tired” ambayo ilifanyika mwaka 2005 na nyingine iitwayo “Born on fire” ya mwaka 2008. .[6]
Harakati
haririSarungi anafahamika kwa mawazo yake juu ya namna raia wa nchi ya Tanzania wanaweza kuleta mabadiliko chanya [7] kupitia vyombo vya habari.
Marejeo
hariri- ↑ "Change Tanzania » About Us". changetanzania.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-21. Iliwekwa mnamo 2018-06-21.
- ↑ "Maria Sarungi Tsehai- Dame of East-Africa Damsels- Konnect Africa". Januari 2, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Maria Sarungi Tsehai — Akiba Uhaki Foundation". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-25. Iliwekwa mnamo 2018-06-21.
- ↑ "FAS Business Feature: Interview with Director of Miss Universe Tanzania, Maria Sarungi. - Fas Magazine". fasmagazine.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-21. Iliwekwa mnamo 2018-06-21.
- ↑ "About « Compass Communication LTD". www.compass-tz.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-05-31. Iliwekwa mnamo 2018-06-21.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namediffr.com
- ↑ "Maria Sarungi Tsehai, mkereketwa wa mabadiliko Tanzania - Magazeti ya leo- Tanzania News -Tanzania Today". www.tanzaniatoday.co.tz.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maria Sarungi Tsehai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |