Mariam Chamberlain
Mariam Chamberlain ( 24 Aprili 1918 – 1 Aprili 2013 ) alikuwa mwanaharakati wa haki za wanawake.
Wasifu
haririAlizaliwa huko Chelsea, Massachusetts, Aprili 24, 1918. Alipata PhD ya uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Harvard mnamo mwaka 1950.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mariam Chamberlain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |