Mariana Seoane

Mariana Seoane García (amezaliwa tar. 10 Juni 1976) ni muigizaji wa filamu na tamthilia, na pia ni muimbaji wa muziki kutoka nchini Mexico. Amepata kuwa maarufu katika ile tamthilia ya "Rebeca".

Mariana Seoane.

Akiwa amechanganya mataifa mawili tofauti, mama yake ni mtu wa Argentina, baba yake amechanganya pia kati ya Mcuba na Mmexico.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mariana Seoane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.