Maridi (jimbo)

Maridi State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Maridi State
Mahali pa Maridi katika Sudan Kusini
Mahali pa Maridi katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Maridi[1]
Idadi ya kaunti 7
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana Louis Lobong Lojore

Imegawanyika katika kaunti 7: Landili County, Maridi County, Kozi County, Mambe County, Ibba County, Nabanga County na Maruko County.

TanbihiEdit

  1. Nashion, Joseph (16 February 2016). Maridi State Government Releases 40 Youth Previously Arrested In Connection To Rebellion. Gurtong. Iliwekwa mnamo 14 August 2016.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Maridi (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.