Marie Van Brittan Brown

Marie Van Brittan Brown (30 Oktoba 19222 Februari 1999) alikuwa mgunduzi wa mfumo wa usalama nyumbani (CCTV).

Alama ya CCTV.

Mwaka 1960 pamoja na mumewe Albert Van Brittan Brown aliunda mfumo wa kwanza wa kuhakikisha usalama nyumbani, dhidi ya visa vya uhalifu.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marie Van Brittan Brown kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.