Marilynne Robinson

Marilynne Robinson (amezaliwa 26 Novemba 1943) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2005, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Gilead.

Marilynne Robinson mnamo 2012
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marilynne Robinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.