Marina Hegering

Mwanachama na chezaji wa chama cha soka cha Ujerumani

Marina Hegering (alizaliwa 17 Aprili 1990) ni mchezaji wa soka wa nchini Ujerumani. Kwa sasa anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.[1]

Marina Hegering

Marejeo hariri

  1. VAVEL.com (2020-04-24). "Marina Hegering joins FC Bayern Munich from SGS Essen". VAVEL (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-04-24. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marina Hegering kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.