Mario Manuel Cristobal (alizaliwa Septemba 24, 1970) ni kocha mkuu wa futiboli ya Marekani wa timu ya Miami Hurricanes katika Chuo Kikuu cha Miami, mwenye asili ya Cuba na Marekani. Hapo awali, Cristobal alikuwa kocha mkuu wa futiboli ya Marekani katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Florida (FIU) kuanzia mwaka 2007 hadi mwaka 2012 na katika Chuo Kikuu cha Oregon kuanzia mwaka 2017 hadi mwaka 2021. Alikuwa mchezaji wa safu ya kushambulia mwenye mafanikio katika timu ya Miami Hurricanes iliyoshinda ubingwa wa kitaifa wa futiboli ya chuo mnamo mwaka 1989 na mwaka 1991.[1][2][3]


Marejeo

hariri
  1. "Football Announces Hiring of Mario Cristobal". Alabama Crimson Tide Athletics. Februari 20, 2013. Iliwekwa mnamo Desemba 9, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Pelegrin, Pete (Desemba 20, 2006). "'A dream come true' for new FIU coach". MiamiHerald.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 14, 2007. Iliwekwa mnamo Desemba 9, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Mario Cristobal Q & A Part 3 - FIU Panthers Prowl". MiamiHerald.Typepad.com. Iliwekwa mnamo Desemba 9, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)