Miami ni mji wa Marekani katika jimbo la Florida mwenye wakazi 480,00 na pamoja na rundiko la jiji ni takriban milioni 2.2 katika eneo lake. Mji upo m 2 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Miami






Jiji la Miami

Bendera
Jiji la Miami is located in Marekani
Jiji la Miami
Jiji la Miami

Mahali pa mji wa Miami katika Marekani

Majiranukta: 25°47′16″N 80°13′27″W / 25.78778°N 80.22417°W / 25.78778; -80.22417
Nchi Marekani
Jimbo Florida
Wilaya Miami-Dade
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 362,470
Tovuti:  www.ci.miami.fl.us
Mahali pa Miami katika Miami-Dade County na Florida
Miami 1896
Miami 2007

Mji ulianzishwa mwaka 1896 ukiwa na wakazi 300 pekee. Ukakua sana baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Baada ya mapinduzi ya Fidel Castro katika Kuba ulipokea wakimbizi wengi kutoka kisiwa kile na kuwa kitovu cha utamaduni wenye lugha ya Kihispania katika Marekani.

Sehemu muhimu ya uchumi ni utalii.

Viungo vya Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Miami kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.