Marion Gröbner (alizaliwa 16 Disemba 1985) ni kiungo wa soka wa nchini Austria amecheza katika ligi daraja la 2 nchini Ujerumani kwenye timu ya wanawake ya Herforder SV.[1] Alicheza katika klabu ya SG Ardagger , Neustadtl, SV Neulengbach, Union Kleinmünchen na USC Landhaus kwenye ligi ya ÖFB-Frauenliga. Mwaka 2008 alikua mchezaji bora wa mwaka kwenye ligi ya Frauenliga.[2]

Marejeo hariri

  1. Statistics in Soccerway
  2. Profile in UEFA's website
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marion Gröbner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.